
Category: mashairi
kayamoko
October 25, 2023
DuaFeatured

Molangu nipe rehema, hadithi njema nitunge, wanelimu wakisoma, iwamulike ja nwenge; dua yangu leo [Read more]

Ewe mkubwa wa miungu, Enyi mizimu ya babetu, Enyi watawala wa mbingu, Mwafahamu walimwengu, Kuwa naomba salama [Read more]